Home  >  Swahili
Swahili
HADITHI FUPI; Urafiki wa Fisi na Kunguru PDF Print E-mail
Swahili
HADITHI FUPI; Urafiki wa Fisi na Kunguru

Imeandikwa na Wendo Nabea

 

Hapo zamani za kale, Fisi na Kunguru walikuwa marafiki wa chanda na pete. Wakati huo Kunguru alikuwa na rangi nyeupe pekee, na Fisi alikuwa na rangi ya hudhurungi au maji ya kunde, bila madoadoa.
Read more...
 
Hadithi fupi; Baada ya dhiki, faraja PDF Print E-mail
Swahili

HADITHI FUPI: Baada ya dhiki, faraja

Imeandikwa na Nabea Wendo

 

Ilikuwa ni asubuhi siku ya Jumamosi. Guyo, babake Nuru, alikuwa tayari ameondoka na wavuvi wenzake kutafuta riziki ya kila siku katika Mto Tana. Gumato, mama yake pia alikuwa ameenda sokoni. Nuru alikuwa nyumbani na ndugu zake wadogo, Munga na Habuko. Sawa na Jumamosi nyingine, kazi yake Nuru ilikuwa kufua nguo za familia yake yote. Alikusanya nguo hizo na kuzikunjia kwenye shuka moja, akaziweka kwenye karai kisha akaelekea Mto Tana
Read more...